Nikki wa pili

Siri Ishatoka! Wimbo Mpya Wa Rayvanny Unatuhuma Za Wizi

Rayvanny ni msanii mzuri mwenye uwezo mkubwa sana. Licha ya kuzua taji la kimataifa,jipya limechipuka. Katika uongozi wa  Wasafi Records ni bayana kuwa wanawake na skendo mbali mbali zitamaliza lebo hiyo maarufu barani . Baada ya Rayvanny kudondosha dude jipya SIRI aliyomshirikisha Nikki wa pili,duru za kuaminika zinahoji kuwa huo wimbo umeibiwa kwa mwanamziki ibuka, Planet Chico. Msanii Planet Chico.akatuma ngoma yake kwa mshikaji wake wa karibu huko kwa Wasafi,baadae