king kaka

Round 2 ~ King Kaka | Lyrics

Walidhani ati tunamalizia Round 1, wee wacha sit back relax fam, wee wacha niko na Mbithi on this ayeeee Kamba Boy (aahhhh) basi get em’ (Mbithi) Yeah Young Bolo na Mr Rozari za Goro Right left me nakata nina makali za Zoro Bado niko kwa stereo tangu nikiwa mono Wako chekechea bado ile design ya Lamba lolo Mistari bado mob ziko kwa wingi ka za Tiger Hittin at the Game