Guardian Angel

Guardian Angel ~ Utafurahi | Music Lyrics

UTAFURAHI LYRICS Chorus Anatengeneza ushuhuda wako.ooh mwisho wa siku kweli utafurahi sana *2 Sana Sana Sana Mwisho wa siku kweli utafurahi sana*2 Verse 1 Giza ni jingi wakati kunakaribia kucha . Kukicha utaona mwanga utafurahi sana Tatizo la mtoto naona linakukera sana kukicha utapata mtoto utafurahi sana Tatizo la kazi jamani lina kukwaza sana kukicha utapata kazi utafurahi sana. Sana sana sana Mwisho wa siku kweli utafurahi sana Wakati mwingine

Utafurahi ~ Guardian Angel | New Wave

Guardian Angel has a new tune Utafurahi. Go and watch it now on youtube or download it. Utafurahi is the second song for Guardian Angel has released this year. The Utafurahi Audio was done by Vicky Pondis { Producer } while the. Video Producer was Richie-G Download Audio Please follow and like us:

Guardian Angel - Taunet Nelel Cover

King of Gospel Covers Guardian Angel had done one of his greatest Cover,Taunet Nelel Cover. Guardian Angel – Taunet Nelel Cover . This song was Originally Song by Emmy Kosgei,one of the greatest gospel in Kenya singer married to a Nigerian. Other covers he has done include;I Do by Willy Paul ft Alaine and Siteketei by Angel Benard. Enjoy Taunet Nelel Cover/Mashup by Kenyan top Gospel Musician, Songwriter and Multi-

Swadakta – Guardian Angel [LYRICS]

[Chorus] Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu Swadakta na wewe, Niko sawa sawa Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu Swadakta na wewe, Niko sawa sawa {Verse One} Swadakta nawe, Safi nawe, wangu mtima unabubujika nawe, natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe Swadakta nawe, Safi nawe, wangu mtima unabubujika nawe, natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe Maombi uliyasikia Milango