Ali Kiba

Ali Kiba Is The Most Influential Young Tanzania

King Kiba alias pasua kichwa has been named the most influential young Tanzanian in the Entertainment Industry. The Seduce Me crooner took to his social media to thank his fans. This is what he had to say. ” Thank you for voting for me to become the most influential Young Tanzanian in Entertainment industry! Nawashukuru sana! #KingKiba.” Please follow and like us:

Top 5 Tanzania Best Songs 2017

2017 has been a good year for Tanzania music industry. Many has been down. International collabos and high end videos. Many artist have had good year. Just lately Vee Money has landed a mega deal. We cant omit the occurance of her relationship status. The Cash madame hitmaker had to leave her then lover Jux. We saw a number of comeback in the industry also. The likes of Ray C

Ali Kiba
"Maumivu per Day " Lyrics

Verse 1 Kwa ile imani ya enzi za kale Mi nliamini ntakufa nawe Ila mimi sikulaumu wewe Kwani Mungu ndo apangayee Yale yote ya zama za kalee Mi nilipanga kuishi na wewe Mwenye hali nsiye na mali Wenye mali wakawa na wewee Hukunificha matendo yako Machafu uliniacha nione Bila kujua yalisaidiaa Nikazoea ila nikaumiaa Sababu bado nakuhitajii Kwangu muhimu ni kama maji Cha ajabu bado nakuhitaji Atayekutenda njo kwangu mimi

Abdu Kiba
"Single"
(ft Ali Kiba) Lyrics

Sule ananaumia single Huwa anaonewa ,single yo single yo Sina nguvu utanifunga kamba kwenye reli Sina jinsi anajua bado nitapeli Ila hajui tu mazoea yana shida yake Na kila kitu sababu ni yeye yeye Nilikuwa na nalewa (single) Na raha ,(single) Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana Nilikuwa nalewa (single) ,nalala (single) Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana Single analia ,(single) anaumia (single) Single naonewa,single yo yoyo Single analia ,(single) anaumia (single)