Kwa Ngwaru ~ Harminize ft. Diamond Platinumz | Lyrics

image

Verse 1: Harmonize
Mh! I wish ningekuwaga na mavumba,
Mkwanja manoti ni kuhonge vya dhamani,
Ama niwefundi wa kuigiza ka-Kanumba,
Masanja Joti usiwembali nami,
Mh! my darlin i need your Love Oh, uwe
nami hakia Mungu nakupenda,
No body Can show you Love Oh,
Usiwaamini, ukishawapa wanakwenda,

Pre-hook: Harmonize
Oh basi jilegeze nikubebe mgongoni
(Iyelewi),
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni
(Iyelewi),
Wakija wapoteze jifanye kama hauwaoni
(Iyelewi),
Kisha uniongeze ulivyo funzwaunyagoni
(Iyelewi),

Hook: Harmonize
Oh baby asa dance nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Ululufemi (Kwa
ngwalu),
Oh baby asa cheza nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Basi cheza na
mimi (Kwa ngwalu),

image
Diamond Platinumz

Verse 2: Diamond Platnumz
Aga moyo wangu muarobaini, mchungu
ukiuziwa,
Samehe mara sabini, huo uzungu
sijajaliwa,
Ukipenda chunga majini, kwenye uvungu
Kumbatie ubaridini, kwenye tundu kama
njiwa,
Moyo wangu ni wamakuti usinijie na
kiberiti (Asa wee),
Penzi likageuka chuki nyumba ikawa kibiti
(Asa wee),
nipatie vya kitandani nipe mpaka kwenye
kiti (Asa wee),
ili asiniingie shetani nawe nikaja kuku-
cheat,

READ ALSO :  Nyashinski - Hayawani | L Y R I C S

Pre-hook: Diamond Platnumz
Oh basi jilegeze nikubebe mgongoni
(Iyelewi),
Kitandani nikoleze kwa miuno ya kingoni
(Iyelewi),
Kisha nibembeleze nirudishe utotoni
(Iyelewi),
Weka mate niteleze kama nyoka pangoni
(Iyelewi),

Hook: Diamond Platnumz
Oh baby asa dance kidogo (Kwa ngwalu),
ooh ubanwe (?) (Kwa ngwalu), Ululufemi
(Kwa ngwalu),
Oh baby asa cheza nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Basi cheza na
mimi (Kwa ngwalu),

READ ALSO :  Feel Love Lyrics - Sat-B

Bridge: Diamond Platnumz & Harmonize
Aga Nataka kucheza chura naingai
ungesimama (ainama inama),
Asa Waonyeshe (ainama inama),
unachezaje (ainama inama),
Unataka maji ya kisima na muoga
kuchutama (ainama inama),
Nimuonyeshe (ainama inama),
wanachotaja (ainama inama),
Unataka kupiga deki, wima umesimama
(ainama inama),
Embu tuonyeshe (ainama inama), unapiga
je? (ainama inama),
Siunataka vya pool table asa mbona
unajibana (ainama inama),
Embu tuonyeshe (ainama inama),
unalenga je? (ainama inama),

Outro: Diamond Platnumz & Harmonize
Ii Oya wanangu wa kigogo (ainama),
Nipe za Mose Iyobo (ainama),
Vunja vunja kidogo (ainama),
Aniongezee mikogo (ainama Inama). a

4 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *